Uislamu dini yangu description
App hii inakwenda kukupa Elimu juu ya dini ya kiislamu. App hii inatumia lugha ya kiswahili. Tumeweka masomo ya dini ya kiislamu katika nyanja nyingi kama:-
1. tawhid
2. tajwid
3. Quran
4. Ndoa
5. Mirath
6. Sira
7. Hadithi
8. Uchumi
9. Fiqh
10. Sunnah