Madrasa kiganjani description
App hii itakupeleka madrasa kwa mjia rahisi sana. Utapata kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu ibada za uislamu kama:
1. Jinsi ya kuswali
2. Kuomba dua
3. Kufunga
4. Kujitwaharisha
5. Taratibu za ndoa na talaka
6. Taratibu za kugawa mirathi
7. Jinsi ya kusoma Quran
Yapo mengine mengi utaweza kujifunza kwenye App hii. Pia utapata fursa ya kuwasiliana nasi moja kwa m oja endapo utakuwa na changamoto katika kujifunza kwako.