SMS/Meseji za Mapenzi - swahili love SMS. description
Je umekuwa ukitafuta meseji tamu tamu za kumtumia mpenzi? Suluhisho ndo hii hapa. Pata SMS na Meseji zote za Mapenzi kwenye hii app na umfanye unayempenda ahisi raha na atabasamu
Maneno moto ya kumwambia mpenzio ili kuongeza mapenzi katika ndoa. Jifunze mapenzi kupitia sms moto za mapenzi utakayoyapata kwenye app hii. Jua jinsi ya kumtongoza mpenzi wako ili akukubali kwa urahisi, usishindwe kujitetea kwa mpenzi wako. App hii ina meseji moto za mapenzi.
Asante kwa kutazama hii page yetu!