4.8
1K review
7.42 MB
Everyone
Content rating
0
Downloads
Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 1 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 2 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 3 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 4 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 5 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 6 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 7 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 8 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 9 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 10 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 11 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 12 Biblia Takatifu ya Kiswahili screenshot 13

About this product

The Holy Bible in Swahili - Swahili Bible

Rating and review

4.8
1,017 ratings

Biblia Takatifu ya Kiswahili description

Biblia Takatifu ya Kiswahili - Swahili Bible

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".

Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale".

Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.
↓ Read more