0.0
0 review
5.50 MB
Everyone
Content rating
45.5K
Downloads
Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care screenshot 1 Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care screenshot 2 Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care screenshot 3 Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care screenshot 4 Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care screenshot 5 Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care screenshot 6 Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care screenshot 7 Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care screenshot 8 Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care screenshot 9 Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care screenshot 10

About this product

Ijue Mifugo yako kwa kujifunza Ufugaji na Matibabu kupitia simu yako kiganjani.

Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care description

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum inayoitwa MshindoVeterinaryCentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.
Email: [email protected]
WhatsApp: 0762 799 080
Website:
https://www.mshindoveterinarycentre.com

NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.
↓ Read more