Singo-Zilizotafsiriwa Samstudio Nyimbo Mpya Video description
Pakua movie zilizotafsiriwa kiswahili na madj mbalimbali Tanzania bure ukiwa na app hii popote ulipo.Movie ni MP4.
SINGO KIZUNGU
SINGO KIHINDI
SINGO KICHINA
SINGO KATUNI
Zote ni HD Mpya na Zazamani
Pata Video HD za nyimbo mpya kwa haraka zaidi zenye ubora wa hali ya juu.
Nyimbo mpya za Nigeria,Nyimbo Mpya Za Bongo fleva,Sebene za Kongo.
Pata ujumbe (notification) kwenye simu yako kupitia app hii kukujulisha kila nyimbo mpya inapotoka mtandaoni.
Na nyinginezo tupe nyota 5 kwa kuikubali kazi hii