4.5
484 review
3.32 MB
Everyone
Content rating
0
Downloads
Simba SC Official screenshot 1 Simba SC Official screenshot 2 Simba SC Official screenshot 3 Simba SC Official screenshot 4 Simba SC Official screenshot 5 Simba SC Official screenshot 6 Simba SC Official screenshot 7 Simba SC Official screenshot 8

About this product

Rating and review

4.5
484 ratings

Simba SC Official description

Simba Sports Club ni timu ya mpira wa miguu yenye makao makuu jijini Dar essalaa. Michezo yake ya Nyumbani huwa inachezwa kwenye uwanja wa Uhuru au Uwanja waTaifa. Simba ni kati ya timu mbili kubwa zenye mashabiki wengi Nchini Tanzania.

Klabu hii ilianzishwa mwaka 1936, Kabla ya kujulikana kama Simba Sports Club iliwahi kuitwa Queens, Eagles na baadaye Sunderland, mwaka 1971 Simba Sports Club ilibadilisha jina na kuitwa Simba Sports Club.

Katika mashindano ya kimataifa, Simba SC ndio timu pekee nchini Tanzania iliyowahi kufika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993 baada ya kupoteza mechi dhidi ya Stella Abijanya Ivory Coast.

Pia Simba SC imekuwa na matokeo mazuri katika mashindano makubwa ikiwemo kuitoa mashindanoni Zamalek ya Misri ambao walikuwa mabingwa wa CAF 2003 na kuingia kwenye makundi ya mashindano hayo. Kabla ya kuitoa Santos ya Afrika ya Kusini.
Simba SC huvaa jezi nyekundu au nyeupe.
↓ Read more