0.0
0 review
4.09 MB
Everyone
Content rating
13.9K
Downloads
Ndoa katika Uislam screenshot 1 Ndoa katika Uislam screenshot 2 Ndoa katika Uislam screenshot 3 Ndoa katika Uislam screenshot 4 Ndoa katika Uislam screenshot 5 Ndoa katika Uislam screenshot 6 Ndoa katika Uislam screenshot 7 Ndoa katika Uislam screenshot 8

About this product

This is a lesson on marital education in Islam.

Ndoa katika Uislam description

Katika Somo hili utakwenda kujifunza mengi kuhusu ibada ya ndoa kulingana na taratibu na sheria za dini ya kiislamu. Tumeandaa somo hili kwa wale ambao ndio wanaelekea kufunga ndoa na wale ambao tayari wapo kwenye ndoa.

Katika somo hili utaweza kujifunza taratibu hatuwa kwa hatuwa kabla ya kuoa, nani anapasa kuolewa, kuchaguwa mchumba na kumuangalia mchumba. Utasoma zaidi namna ya kufunga ndoa na kuishi kwa wema ndani ya ndoa.

Taratibu za kuachana na hatua zinazopasa kuchukuliwa baada ya kugombana. Pia utajifunza aina kuu za talaka, na taratibu zake za kutaliki.

Tumeandaa kazi hii kwaajili ya Allah. Hivyo tunaomba dua njema kutoka kwako msomaji ili Allah atuongoze katika njia ya kheri.
↓ Read more