Kazi Mtaani description
Hii ni App inayowasaidia vijana wasio na kazi kupata kubarua kwa haraka.
Kupitia App hii utaona vibarua mbalimbali vinavyopatikana karibu na maeneo yako. Utaona kiasi cha malipo. Pia utapata kujua ni eneo gani hiyo kazi inafanyika pamoja na kupata namba ya mawasiliano ya mwajiri.