4.8
384 review
8.36 MB
Everyone
Content rating
57.5K
Downloads
Audio Bible Swahili offline screenshot 1 Audio Bible Swahili offline screenshot 2 Audio Bible Swahili offline screenshot 3 Audio Bible Swahili offline screenshot 4 Audio Bible Swahili offline screenshot 5 Audio Bible Swahili offline screenshot 6

About this product

The Holy Bible in Swahili is the Old and New Testament. Audio Christian Bible.

Rating and review

4.8
384 ratings
5
4
3
2
1

Audio Bible Swahili offline description

Biblia ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya dini ya Uyahudi na hasa ya Ukristo. Neno limetokana na lugha ya Kigiriki ambayo ndani yake βιβλία (biblia) ina maana ya "vitabu" ikiwa ni wingi wa βιβλΠς (biblos). Hii ni kwa sababu Biblia ni mkusanyo wa maandiko mbalimbali yaliyoweza kutungwa kwa muda wa miaka 1000 hivi.

Hivyo Biblia ni tofauti na vitabu vingine kwa sababu iliandikwa na watu mbalimbali ambao hawakuwa pamoja wala hawakuandika kwa wakati mmoja, lakini vitabu vyote vimekusanywa na kuunda kitabu kimoja cha Biblia. Inasadikiwa na Wayahudi na Wakristo kwamba "Biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu kwa uwezo wa Mungu".

Kuchagua kitabu kusikiliza:

AGANO LA KALE
AGANO JIPYA
↓ Read more