Tala Tanzania APK

Tala Tanzania
4707comments
0views
Download APK
Google Play Store
Free   
7.17.1
9852792
Tala Tanzania screenshot 1Tala Tanzania screenshot 2Tala Tanzania screenshot 3
Tala Tanzania 7.17.1 apk, update on 2018-08-07
Tala ni app nambari 1 Tanzania inayotoa huduma za kifedha kwa wadau wanaotumia mtandao wa Tigo na Vodacom !

Tunakupatia mkopo mikononi mwako, wakati wowote na mahali popote. Pia ada zetu ni ndogo na tuna ratiba rahisi za marejesho.

Je! Inafanyaje kazi?
- Fungua akaunti yako ya Tala
- Omba mkopo kwa dakika 5 tu
- Pata jibu la ombi lako la mkopo baada ya sekunde chache tu
- Pesa itatumwa papo hapo kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa au M-PESA
- Kopa na rejesha mkopo kwa wakati uweze kukopa viwango vikubwa zaidi

Sera ya Faragha: Unapo-download programu ya Tala, tutakuomba kusoma SMS zako pamoja na taarifa nyingine ili kuhakiki utambulisho wako, na hali yako ya kifedha, ili tuweze kukupatia mkopo wa haraka popote ulipo Tanzania. Tunathamini sana faragha na taarifa zako binafsi hazitatolewa kwingine bila ya wewe kutoa idhini.

Tala Tanzania APK reviews


abdallah shaban review abdallah shaban
I hate the app . not helpful, limited terms and condition, technical problems over times. Jipangeni upya kam kweli mnahitaji kusaidia watanzania
A Google user review A Google user
Mko vizuri sana Tala
A Google user review A Google user
So fast,and helpful,any one who is afraid of using it i recommend to use,its a best financial helper app
A Google user review A Google user
TALA is best and enjoyed for those who believe in TALA
mohamed alwaqib review mohamed alwaqib
Best one
A Google user review A Google user
Tala is great for those who need instant help... I like it
A Google user review A Google user
I love Tala
charles ngomale review charles ngomale
tala ni wapumbavu tu ni vigezo vyote kitambulisho cha uraia kadi ya mpiga kula passport kubwa eti huu mwezi wa pili sijakizi vigezo kwenda yako
Abubakar.ahmed 07 review Abubakar.ahmed 07
I really like it from the first time I started using Tala it's easy and fast and of great help financially BIG UP
kalinga jr review kalinga jr
mnahuduma nzur sana mmenisaidia pale ninapokwama kwenye biashara yangu. Asanten
Investor78 Toplider review Investor78 Toplider
Very slow, mtu akishafanya marejesho kupata mkopo tena ni tabu Sana
Roza Alfred review Roza Alfred
How can you tell me kuna tatizo nifunge app kila muda😏😏nitawapa 5 star when you fix it
Shadrack Chonanga review Shadrack Chonanga
This app is helpful,active and timely operated. I advise people to use it.
A Google user review A Google user
Its now one week my application can't open what's wrong
James J Jacob review James J Jacob
Your app is'nt opening today what's the problem??
A Google user review A Google user
Kuna tatizo limenipata kwamba tala yangu inanambia kuna tatizo nifunge na nifungue tena lakini inakataaa ata nifanya ivo
A Google user review A Google user
Nilikua nikitumia sana Lakini na muda nikiomba mkopo sipewi kisa nilikawia kulipa deniii...
Giveus Swebe review Giveus Swebe
Hii app haipo kwaajili ya kumsaidia mtu wala sio app nzur haina msaada wowote ule
Innocent Bitababaje review Innocent Bitababaje
An tala ninawapenda Sana'a lakin jaribun kurekebisha system kila ukifungua unaambiwa kuna tatizo
A Google user review A Google user
MNA huduma nzuri lakini you should be active kila wakati MTU anapohitaji huduma,,mjitahidi kutatua tatizo linalozuia MTU kuingia tena kwenye app ya tala akishafanya marejesho
Shadrack Mangu review Shadrack Mangu
Kila siku mnanitumia sms za naweza kukopa. But badoo app haiwez..
amani fungo review amani fungo
Your services are outstandig and phenomena, you are helping others to grow financially
A Google user review A Google user
Alafu mnakosea kitu kimoja..yaani kama mtu kachelewa kulipa deni basi nyie mnajiwekea tu gharama zenu tu bila kuwasiliana na mteja mnasahau kwamba kuna matatizo mtu anaweza kumbana nayo
A Google user review A Google user
Very helpful. They do process a loan in a short time. I like the service generally.
A Google user review A Google user
Mbona tukituma ujumbe kwenye app ya tala majibu hamtoi?
A Google user review A Google user
Mbona MTU akitaka kuingia mnamwambia kuna tatizo akati nshajiungaa
Johanes Bigambo review Johanes Bigambo
Why you're app since yesterday it doesn't open. All in all your the best. I like you guys. I wish i could give you 10 stars. Your quick.
Emmanuel Robert review Emmanuel Robert
Nataka ni scan kitambulisho nifanyeje maana kutumia Facebook inasumbua naomba msaada tafadhali
John Mzugi review John Mzugi
Mtu akisharejesha kupata mkopo inakuwa ni tabu sana,tatizo hasa huwa ni nini!?
A Google user review A Google user
Leo Kuna tatizo gani mbona kila nikiingia naambiwa Kuna tatizo
Kenny Tz review Kenny Tz
Tala ni nzuri imenisaidia kwa kiasi kikubwa
twaha ntamba review twaha ntamba
People must use tala for so that to generate income
A Google user review A Google user
Inanipa wepesii wa kufanya mambo kwa wakati
A Google user review A Google user
Mbona hamjibu maswali yetu? Hivi kama hauna kitambulisho cha urai au mpiga kura huwezi kutumia passport ya kusafiria kujiunga???
Geofrey Charles review Geofrey Charles
App yenu inasumbua kila nikijaribu kujiunga inasema kuna tatizo nifunge nifungue tangu Jana ni hivyo to.
A Google user review A Google user
Good application help people like me
Hamisi Mfuko review Hamisi Mfuko
Very good app, keep it up!
A Google user review A Google user
Please I want to joining but definitely not yet for few days, if is not impossible tell me
A Google user review A Google user
I advice that timetable of returning back loans should be in interval of months it will attract the majority to borrow from you( TALA)
KING_ CHURA TV review KING_ CHURA TV
Nahitaji msaada huduma kwa wateja ina goma ina andika imeshindikana kupata tiketi msaada nifanyeje hongereni kwa huduma asanteni sana