Naipenda Yanga description
Naipenda Yanga (Young African team) App: Ni App Inyokuletea taarifa za team Popote Ulipo Kupitia Simu Yako Ya Mkononi, hivo Utajua Ratiba Za timu ya yanga pamoja na Msimamo wa ligi kuu ya tanzania, Jua Matokeo, Usajili, Interviews Za Wachezaji Wote Kupitia App Hii Ya Wana Jangwani