Jamvi La Simulizi description
Jamvi la Simulizi App ni kiungo cha burudani na tulizo la moyo. Tunakuletea riwaya kali za kukufunza na kukuburudisha kiganajani mwako. Ni darasa huru na ukumbi wa filam utakaotembea nao popote
uendapo. Mimi, wewe, yule na ulimwengu mzima tutaongea lugha moja, Jamvi la Simulizi.