0.0
0 review
13.43 MB
Everyone
Content rating
7K
Downloads
Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screenshot 1 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screenshot 2 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screenshot 3 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screenshot 4 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screenshot 5 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screenshot 6 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screenshot 7 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screenshot 8 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screenshot 9 Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili screenshot 10

About this product

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Swahili description

Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar, sahihul muslim na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.

Imam Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.

Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.
↓ Read more

Version lists