Dalili za Mimba changa baada ya tendo la ndoa description
Somo hili linakwenda kukufundisha dalili kuu za mimba changa. Dalili hizi zinaweza kuanza kuonekana katika siku za mwanzoni kabisa baada ya tendo la ndoa.
Pia utakwenda kujifunzamambo makuu kuhusu mimba na mimba changa. Nitakuletea somo juu ya siku za kupata ujauzito na namna ya kuzijuwa siku hizo.