0.0
0 review
13.40 MB
Everyone
Content rating
60.1K
Downloads
Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 1 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 2 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 3 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 4 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 5 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 6 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 7 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 8 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 9 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 10 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 11 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 12 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 13 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 14 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 15 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 16 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 17 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 18 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 19 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 20 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 21 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 22 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 23 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 24 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 25 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 26 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 27 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 28 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 29 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 30 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 31 Ticha Zungu - Jifunze English screenshot 32

About this product

Learn English in Kiswahili Online with Ticha Zungu.

Ticha Zungu - Jifunze English description

JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI MTANDAONI NA TICHA ZUNGU!

> Daunlodi aplikesheni ya Ticha Zungu ili uanze kujifunza Kiingereza cha kusoma, kuongea, kusikia, na kuandika mda wowote, siku yoyote unapokuwa na nafasi.

-> Ndani ya aplikesheni kuna masomo ya miezi mitatu. Kila somo lina sehemu nne:
- Sehemu ya kuzungumza laivu na mzungu kwa Kiingereza huku ukipata msaada kutoka kwa Ticha Zungu.

- Sehemu ya kusikiliza video ya somo.

- Sehemu ya kujifunza maneno ya Kiingereza na tafsiri zake, namna yanavyotamkwa, na kurudia kuyatamka.

- Sehemu ya maswali ya kutafsiri sentensi za Kiingereza kuringana na somo la video ulilofundishwa na maneno uliyojifunza, kusikiliza hizo sentensi zinavyotamkwa, na kurudia kuzitamka kwa Kiingereza.

-> Ukikamilisha masomo ya mwezi mmoja utajua Kiingereza kiasi kikubwa, na ukikamilisha miezi mitatu Kiingereza hakitokusumbua tena.

-> Ada ni 10,000 na ni ya muda wa miezi mitatu.
↓ Read more

Version lists

Similar Products