0.0
0 review
2.87 MB
Everyone
Content rating
0.9K
Downloads
Aina za talaka na Eda screenshot 1 Aina za talaka na Eda screenshot 2 Aina za talaka na Eda screenshot 3 Aina za talaka na Eda screenshot 4 Aina za talaka na Eda screenshot 5 Aina za talaka na Eda screenshot 6

About this product

Here you will go to learn about divorce and its procedures in Islam.

Aina za talaka na Eda description

Kitabu hiki kimeandaliwa ili kukupa mafunzo juu ya Hukumu za talaka katika uislamu. Hapa utajifunza mambo mengi baadhi yao ni kama:-
1. Nini maana ya Talaka na Eda
2. ni zipi aina za talaka na Eda
3. nani anafaa kutalikiwa
4. nani anatakiwa akae Eda?
5. Muda wa kukaa Eda
6. Eda ya Mwenye ujauzito
7. Talaka ya mjamzito
8. Hukumu ya kumtaliki mwanamke akiwa katika siku zake
9. Eda ya mwanamke aliyefiwa
10. Hukumu ya talaka ya mlevi

Pia utajifunza mengi zaidi. Kwa maoni na mapendekezo usiwache kuwasiliana nasi.
↓ Read more